[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nahitaji mashine ya kukamulia mademu
wasiliana na mkulu wa Tanzania ya viwanda nafikiri atakutoaHabari wanajamii.
Nina mashine ya kukamulia miwa naiuza kwa pesa za kitanzania 800,000/=.Mashine ipo ktk hali nzuri,ipo maeneo ya Dar Mbagala kwa atakaehitaji kuiona.Mawasiliano 0789 780 200,huruhusiwi ku beep.
Pictures are coming soon...
Nawasilisha.
Hahaha duuuu mna chekesha hatariwasiliana na mkulu wa Tanzania ya viwanda nafikiri atakutoa
Huitaji mashine nyingine,hiko hiko KIBAMIA chako unaweza kukiongeza,tumia miti shamba ndugu.
Ni ya umeme au ya kawaida?Habari wanajamii.
Nina mashine ya kukamulia miwa naiuza kwa pesa za kitanzania 800,000/=.Mashine ipo ktk hali nzuri,ipo maeneo ya Dar Mbagala kwa atakaehitaji kuiona.Mawasiliano 0789 780 200,huruhusiwi ku beep.
Pictures are coming soon...
Nawasilisha.
Duu hizo mashine mpya Kwa laki nani wapi mkuu? Mbona sijawahi Ziona?Kuna mashine mpya kabisa na ya kisasa tena yenye mvuto, sehemu yoyote unaiweka na ukawa wa kisasa, bei ni laki nane. Sasa wewe sijui umeweka nini hiyo ya sido?
Mkuu bado unayo? NahitajiKuna mashine mpya kabisa na ya kisasa tena yenye mvuto, sehemu yoyote unaiweka na ukawa wa kisasa, bei ni laki nane. Sasa wewe sijui umeweka nini hiyo ya sido?