Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Nyumba ya kupanga inahitajika.Iwe Mjimwema baada tu ya kituo cha mafuta Barabara iendayo Gezaulole. Nyumba iwe Na Huduma zote kama vile Maji Umeme nyumba iwe Na uzio bei Tsh.200,000/= Malipo yawe miezi 6.
Simu: 0752334403
Simu: 0752334403