Habari za leo wanajamii kama kuna mkulima anazo pilipili mbuzi natafuta aje PM mm nipo Dar.
Nataka ninunue pilipili mbuzi viroba vitano kama unazo nakuomba pm kiungwana kabisa
PastorA sijui wewe ni pator mlisha kondoo au mla kondoo!
Ingependeza kama bandiko lako lingekuwa na ufafanuzi wa kutosha kuliko kuitana pm.
Ungeeleza
unataka nyingi kiasi gani in Kgs.
Ya ubora upi? mbichi au iliyokaushwa?
Unanuna kiasi gani kwa kilo?
Je kama muuzaji yuko nje ya dar delivery cost ni juu ya nani?
Nadhani ingependeza zaidi,
Ni ushauri tu...mambo ya kuitana chumbani wakati umeme ni wa mgao tunaogopa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.