Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

msonganzila

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
204
Reaction score
106
Karibuni kiwanja kinauzwa Msasani,Sqm 14920 kinafaa kwa Hotel....
Kwa mawasiriano zaidi:-
0715-011022
1486133089210.jpg
1486133109862.jpg
 
Hapo ukutani, maandishi mekundu yanasemaje?
 
Usd mil 4 wakati ukienda Manhattan hizo mil 4 unanunua majengo 3 na kubakiza chenji..madalali mna ukichaa wa ajabu kweli
 
Mita 60 unajenga Hotel gani???? Na wala hazitimii hizo square metres ulizosema hapo......et 4million USD[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Acha utani aseee...labda unasemea 4million tshs
 
Back
Top Bottom