Hawa jamaa ni bure kabisa. Hiyo internet yao ndio kimeo mpaka aibu. Hata kobe ana nafuu.Airtel acheni kutudanganya na mb 100 za YouTube bure. Inakera kuona kuona unadanganywa waziwazi maana tukiwa YouTube izo mb hazitumiki inatumika mobile data ya kawaida, tuomba mtueleze ukweli sio kutudanganya.
Unataka uende tigo kule wanakosemaga eti "Lipia Kifurushi cha 1,000 upate Facebook na Whatsapp bure"??Airtel acheni kutudanganya na mb 100 za YouTube bure. Inakera kuona kuona unadanganywa waziwazi maana tukiwa YouTube izo mb hazitumiki inatumika mobile data ya kawaida, tuomba mtueleze ukweli sio kutudanganya.