Nahitaji uchafu wa silver

boy mzuri

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
287
436
Habari wakuu;
Hapa naongelea zile silver wanazopenda kuvaa dada zetu_
Pia na wale wanaume wanaojipenda na kwenda na wakat

Inshu sio silva iliyotengenezwa
Bali ni ule uchafu unaopatikana baada ya kuchomwa Silva .......

Kwa wale ambao hamjanielewa ni kwamba .... Mchanga wa silver unapochomwa kwenye moto Silva huwa inajitenga pembeni na huo uchafu ninaouzungumzia ni kama maji yanamwagwa na badae kisha kuganda.......

Kwahiyo kwa yeyote
anayejihusisha na maswala ya dhahabu ,Sonara ndipo huwa wanachoma sana... Mimi ninahitaji huo uchafu unaobaki baada ya kuipata silver, njoo tufanye biashara

Picha ya huo uchafu wa silver;

d522f8d6a33d47c2cef8108035675a02.jpg


Sio lazima mpaka mtu anayehusika moja kwa moja , hata kama ulishasikia fununu sehemu panapopatikana basi unaweza kufatilia na ukaja tukatengeneza pesa....

Watu wa MBEYA , DAR, ARUSHA, MUSOMA, KAHAMA, GEITA, MWANZA, KAKOLA, MTWARA,Na kwengineko popote pale ulipo na yanapatikana .......

Asanteni......
 
Back
Top Bottom