Msaada: Biashara ya castol oil seed

mtimkav

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
1,034
658
Habari wakuu,

Nahitaji kujua ni wapi naweza kupata wanunuzi wa hizo mbegu tajwa hapo kutokana na umuhimu wake kwani imekuwa ikitumiwa kutengeneza bidhaa nyingi ikiwemo oil za magari, dawa, perfume na mambo mengine.
220px-Castor_beans.jpg


Msaada tafadhali wakuu
 
Back
Top Bottom