Habari nauza Diapers nzuri sana za watoto za kufua. Zipo kama zinavoonekana kwenye picha,muonekano mzuri.Diapers moja ni Tsh 22,000/= inakuwa moja pamoja na nappy(insert) yake moja. Ukihitaji nappy(insert) ya ziada pia zipo moja Tsh 10,000/= Diapers hizi ni nzuri sana kiafya hazina kemikali kabisa. Zimetengenezwa kwa kitamba laini sana, na ni (waterproof) hii inazuia mkojo kupenyeza nje na pia inasaidia sana katika kumuweka mtoto akiwa mkavu muda wote. Diapers hizi ni salama sana kwa ngozi ya mtoto, hazileti miwasho,na hata kwa mtoto mwenye (sensitive skin) hizi ndio Diapers sahihi kabisa kutumia, hazimletei mtoto joto la kumkosesha raha ya kucheza,mtoto anakuwa huru sana muda wote. Diapers hizi ni free size (3-15kgs) mtoto anavaa tangu kuzaliwa mpaka atakapoweza kujitegemea kujisaidia mwenyewe.Zina vifungo vya kuongeza na kupunguza ukubwa kama inavoonekana katika picha. Diapers hizi zinadumu muda mrefu sana mpaka miaka 3 na zaidi. Mtoto atavaa mpaka atamuachia mdogo wake.Karibu ubane matumizi na kuokoa garama za kununua Diaperrs kila mwezi. Na kamwe hautajutia kununua Diapers hizi. Nipo Sanawari-Arusha. Popote natuma kwa uaminifu sana.PLEASE SERIOUS BUYER ONLY PIGA AU WHATSAAP 0765554391.