kiboksi manyoya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 377
- 311
Kwa wale wenyeji wa wilaya ya Bunda hasa eneo la Bunda mjini au karibu na Bunda mjini nahitaji shamba au kiwanja Kwa ajili ya Makazi na kilimo,hata maeneo ya Nyamuswa sio Mbaya, msaada wenu tasavali.