U wapi Abdulwahad wa Zanzibar

U wapi Abdulwahad wa Zanzibar

mkandumbwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
424
Reaction score
371
Salaam.

Kuna mdau humu anaitwa Abdulwahad alikua ktika uzi kadhaa. Alikua anauza vifaa vya umeme i.e tv toka Zanzibar.

Ninahitaji tv ila sioni uzi zake zote.

Uko wapi Abdulwahad???
 
Salaam.

Kuna mdau humu anaitwa Abdulwahad alikua ktika uzi kadhaa. Alikua anauza vifaa vya umeme i.e tv toka Zanzibar.

Ninahitaji tv ila sioni uzi zake zote.

Uko wapi Abdulwahad???
Angalia juu kabisa kuna uzi sticky WAUZAJI WOTE WA TV.....thread yake imeunganishwa humo na yeye yumo humo kila page utamuona.
 
Screenshot_2017-02-13-05-17-26.png

Nadhani ndio huyu mkuu, uzuri wa huyu jamaa unaweza lipia mzigo on delivery.
 
Salaam.

Kuna mdau humu anaitwa Abdulwahad alikua ktika uzi kadhaa. Alikua anauza vifaa vya umeme i.e tv toka Zanzibar.

Ninahitaji tv ila sioni uzi zake zote.

Uko wapi Abdulwahad???
Mkuu nipo sijui kama ulisha nitafuta ama laa, kama bado na hujafanikisha shida yako unaweza kunicheki 0777650286 & 0718919725
 
Back
Top Bottom