Nenda kitulo ukaweke order ya pure Friesian au saohillWakuu,
Naomba yeyote anayeuza au kujua mtu anayeuza Ng'ombe wa maziwa anayekamuliwa lita kuanzia 6 kwa mkamuo, naomba anitaarifu nahitaji ng'ombe wawili wa aina hiyo. Kama wakiwa jamii ya Friesian nitafurahi zaidi.
Nipo Dar es Salaam
Asanteni sana
Wakuu,

hua ni kuanzia bei ganNenda kitulo ukaweke order ya pure Friesian au saohill
Wa Kitulo kwa Dar,utahangaika sana kufikisha kiasi hicho. Nashauri,pata waliozalishwa maeneo ya joto kama la Dar. Nenda SUA-Morogoro,kuna ngombe wazuri sana,na watamudu vyema hali ya Dar. Ila sina Uhakika wa upatikanaji wake mapema.Nenda kitulo ukaweke order ya pure Friesian au saohill