john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,079
Jamani wapendwa naombeni kujua naweza pata simu gani nzuri kwa bajeti ya 600000/=.
ahsante kwa ushauri wenu
ahsante kwa ushauri wenu
Kweli dunia haipo fair, kuna mtu huku ameanzisha uzi afanye biashara gani na mtaji wa laki tatu. We unatafuta simu ya laki 6 na kesho kutwa inapotea kwenye daladala.
Wa kishua wananunuaga simu Mlimani city..Huyo hua apandi dala dala, ana LEXUS v12