Nina swali wakuu pliiiz nisaidieni

sauda chaka

Member
Jan 18, 2017
52
16
Swali ni Mimi ni mtumishi wa uma upande wa elimu ila nina certificate nilitaka nikasome diploma nchini Kenya inawezekana na gharama zikoje na je nkirudi naweza panda mshahara kama wenzangu?Asanteni.
 
Back
Top Bottom