INAUZWA Acer Laptop -E510

jopss

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
292
448
Habari wana jamvi
Ninauza Acer laptop e510 kwa Tz Shs 350,000. Imetumika miezi 6 .
Nipo Mbweni - Dar es salaam
DSC_0025.JPG DSC_0023.JPG DSC_0020.JPG
 
Imenunuliwa miezi 6 iliyopita

Imenunuliwa miezi 6 iliyopita maana yake nini, ilikuwa kwenye kabati miezi 6 ndani ya boxi au ni kwamba imepigika miezi 6 tayari? Be straightforward.

Imenunuliwa lini sisi inatusaidia nini.
 
Imenunuliwa miezi 6 iliyopita maana yake nini, ilikuwa kwenye kabati miezi 6 ndani ya boxi au ni kwamba imepigika miezi 6 tayari? Be straightforward.

Imenunuliwa lini sisi inatusaidia nini.
Imetumika miezi sita. Nashukuru kwa marekebisho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom