Ninauza Vifaranga wa Kuku aina ya Kuroiler.

kigoma1

Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
26
Reaction score
7
Kuroiler ni kuku wa kienyeji mwenyewe asili kutokea India.
1. Anakua kwa haraka
2. Ana anza kutaga akiwa na umri wa miezi 4 na nusu..... Na atataga kila siku kwa miaka 2
3. Ana ongeza uzito kwa haraka. Miezi 4 jogoo unaweza kuwa na kilo 5 wakati mitetea watakua na kila 3.
4. Ni kuku anaye stahimili magonjwa
5. Anaweza kufugika kisasa au kienyeji.

*kifaranga tunauza kwa sh 2,500 ( wanakuwa wameshapatiwa chanjo ya Marek's)
Tunapatikana Morogoro, tunatuma kwa walio mbali.

Tupigie 0715 601 605
 
Japo kapicha tu
 
Back
Top Bottom