Plot for sale at Chanika

genius26

Member
Feb 8, 2017
44
25
20M*24M , kipo chanika lukooni , kutoka barabara ya rami(videte) nikama 500M na kutoka chanika stendi 900M . Njia ni nzuri ,panafikika kirahisi kwa gari , umeme upo karibu na nisehemu iliyojengeka vizuri .Bei 4M kwa taarifa zaid karibu PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom