Natafuta nyumba ya kupanga.

Faru-John

Member
Dec 21, 2016
44
13
Kama kichwa kinavoeleza nahitaji chumba kimoja na sebule self. Mitaa ya tabata ijitegemee kwa umeme.bug 150000.
 
Ongeza ifike 200000,nikupe nyumba yenye vyumba viwili.sebule.jiko.choo na bafu.tabata kinyerezi.maji yapo 24hours
 
Mkuu kinyerezi itakua mbali na ofisi yangu. hata ivo ninahama kwenye nyumba kama yako mitaa ya darwest kwa ajili ya ufinyu wa bug.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom