Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Iwe single cabin model ile ya 2.8 Namba yoyote,gari iwe inatumia disel,gari iwe nzimaa Offre ya mnunuzi ni mln 8 mpk 9mln Kama kuna mtu anayo au anamfahamu mtu ambaye anayo tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf, sisi tunajihusisha na masuala ya uchimbaji wa visima kwa ajili ya umwagiliaji wa mashambani,kwa matumizi ya nyumbani au hata kwa biashara na bei zetu ni shillingi 70000 kwa mita...
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Wakuu gari iliyo ktk hali nzuri toyota sienta inauzwa Mileage: 63000 CC: 1300 Usajili: DCZ Bei 9,000,000/= Mengine piga simu 0714108501
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hello friends, hivi mnafaham kuwa mbwa ni mlinzi mwaminifu wa kweli na unapotumia mbwa mwenye mafunzo unakuwa umeongeza uhakika wa usalama wako Mara dufu kuliko kutumia Masai au binadam yeyote...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, Nauza kiwanja Eneo la Bagamoyo Kiromo sio mbali na barabara kuu ya Bagamoyo ( kama mita 300 kutoka Bagamoyo Road), ukubwa wa kiwanja ni robo heka, Bei yake ni sh milioni 5.5. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Kama wewe ni producer na unahitaji sehemu/studio kwa ajili ya kufanya kazi zako za music (gospel tuu) tuwasiliane kwa kupitia (pm) kwa mazungumzo zaidi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nahitaji smartphone nzuri brand ya tecno au samsung kwa 150k
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwema? Lipo gari aina tajwa hapo juu linauzwa. Bado lina hali nzuri isipokuwa mtumiaji ameshindwa kumudu gharama za mafuta usawa huu. Kwa muhitaji, anaweza wasiliana nami moja kwa moja tukafanya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa yoyote anayehitaji simu nauza Samsung galaxy Ji one ace kwa laki mbili bado mpya ina miezi miwili tu tokea niinunue na haina tatizo.anaeitaka tuwasiline
0 Reactions
2 Replies
4K Views
NDGU MWANANCHI,MFANYABIASHARA UNAKARIBISHWA KUTANGAZA BIASHARA YAKO ISIKE KOTE DUNIANI KUPITIA MPANDA RADIO FM ILIYOKO MKOANI KATAVI. TANGAZA NASI UPATE WATEJA WENGI POPOTE ULIPO TUNAKUHUDUMIA...
1 Reactions
2 Replies
681 Views
Za jioni wadau kam title inavyojielezea nauza Laptop aina ya samsung mini ina charger yake kwa bei ya 200000 maelewano yapo. Kwa mawasiliano zaidi 0712220207 au 0742194328
0 Reactions
15 Replies
6K Views
HONDA 6.5hp 2-inches horse Ipo full na kila kitu chake Mawasiliano: 0718141970 Bei : 320k maelewano yapo tuma mesej/piga tutaelewana
1 Reactions
9 Replies
9K Views
Habari za saa hizi humu ndani? Naomba kupatiwa msaada wa mapendekezo ya bustani nzuri inayofaa kwa ajili ya sherehe ya harusi. Ninatarajia kufunga harusi na kuwa na wageni wasiopungua 400...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Hello friends, hivi mnafaham kuwa mbwa ni mlinzi mwaminifu wa kweli na unapotumia mbwa mwenye mafunzo unakuwa umeongeza uhakika wa usalama wako Mara dufu kuliko kutumia Masai au binadam yeyote...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Directory/Database ya hoteli zote Nchini, inapatikana. ipo katika makundi matatu:- 1. Hoteli. 2. Lodge/ Guest house. 3. Kambi(camps). Imeshereni taarifa zifuatazo:- 1. Jina la hoteli 2...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Mashine za kutengeneza mkaa wa kisasa za manual yaani unatumia mkono zinapatikana. Bei inatofautiana kutokana na size ya mashine. Ila ndogo kabisa inaanzia sh. 50,000 inayoweza zalisha gunia...
3 Reactions
4 Replies
10K Views
Ina Vyumba vitatu kimoja kina choo chake Sebule+dinning +Jiko+choo cha public+full tiles na gypsum Maji safi+umeme+fence lenye geti _______________________ Tank za kuhifadhi Maji IPO kisiwani...
0 Reactions
2 Replies
783 Views
Inauzwa 4.8 mln(fixed)kwa mwenyewe ambaye ni mmiliki haidaiwi vibali tatizo lake ni gas ya ac imeisha ni ya kujaza passo ni ya piston 4 kwa mawasiliano piga simu 0715591141 nku link na muuzaji...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wadau hiyo gari ipo sokoni, ipo kwenye condition nzuri, inatembea. Ina radio FM, air condition safi, ABC safi na kwa hakika hutojuta kuinunua. Bei inanzia 4.5, maelewano yapo. Kwa serious buyer...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nyumbani technology wanakuletea huduma zifuatazo 1. Website designing and blogs designing 2. SEO setting (make your site popular 3.Tunauza traffic Kwa sites na you tube videos 4. Tunakusetia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…