Jaribu kusoma na hapa

Jaribu kusoma na hapa

tawa driller

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
296
Reaction score
152
Habari wana jf, sisi tunajihusisha na masuala ya uchimbaji wa visima kwa ajili ya umwagiliaji wa mashambani,kwa matumizi ya nyumbani au hata kwa biashara na bei zetu ni shillingi 70000 kwa mita kwa bomba za inchi 4.5 na elfu 80000 kwa mita kwa bomba za inchi 5 na bie hizo ni kwa wateja wa Dar es salaam kwa wale walioko mkoa wa pwani tunachimba kwa shillingi elfu 80000 kwa mita moja. Tuna provide vifaa bora na ni vinaishi kwa muda mrefu na ni high class.

Pia tunafanya na ground water survey kwa shillingi laki tatu na nusu kwa wakazi wa Dar es salaam
Karibu kwa hudumu kwa simu namba 0625576082
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom