Nauza kiwanja Bagamoyo-Kiromo

blackgold engineer

Senior Member
Sep 8, 2013
107
70
Habari,

Nauza kiwanja Eneo la Bagamoyo Kiromo sio mbali na barabara kuu ya Bagamoyo ( kama mita 300 kutoka Bagamoyo Road), ukubwa wa kiwanja ni robo heka, Bei yake ni sh milioni 5.5.

Kwa mawasiliano piga namba +255712001067.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom