Mimi nilikua nayo usajili CUY imenyooka kweli na mziki juu nkatafuta soko la mil 6 kamili nilisafa kweli mpaka nimekuja kuuza mil.5.....Dah inawezekana mkuu. Zimesimamia ngapi kwa sasa?
Sikukatish tamaa ila kwa gx100 hyo bei iko juu kupita maelezo,Kwema?
Lipo gari aina tajwa hapo juu linauzwa. Bado lina hali nzuri isipokuwa mtumiaji ameshindwa kumudu gharama za mafuta usawa huu.
Kwa muhitaji, anaweza wasiliana nami moja kwa moja tukafanya biashara.
Biashara hii inafanyikia Dar.
Mimi nilikua nayo usajili CUY imenyooka kweli na mziki juu nkatafuta soko la mil 6 kamili nilisafa kweli mpaka nimekuja kuuza mil.5.....
Hiyo mil.6.5 ni bei za GX110
Sikukatish tamaa ila kwa gx100 hyo bei iko juu kupita maelezo,
Weka picha tuone hali ya gani, ni namba ngapi?,aina ya engine 4s au 6 na kuhusu vibali imelipiwa vyote viko hai ama?