Ilikua nayo nikamwazima mtu basi hajairudisha mpaka leo
Mkuu mia 20 HV ipo cash.. Unasemaje. Nikupigie tuongee nipo dar..Za jioni wadau kam title inavyojielezea nauza Laptop aina ya samsung mini ina charger yake kwa bei ya 200000 maelewano yapo. Kwa mawasiliano zaidi 0712220207 au 0742194328View attachment 477882View attachment 477883View attachment 477884
Uko sehemu gani mkuu nikupe hip helaUsipoteze vocha yako mkuu..
Sema haipoIlikua nayo nikamwazima mtu basi hajairudisha mpaka leo