Nauza simu Samsung J1 ace .

marikizz

Member
Mar 9, 2017
30
9
kwa yoyote anayehitaji simu nauza Samsung galaxy Ji one ace kwa laki mbili bado mpya ina miezi miwili tu tokea niinunue na haina tatizo.anaeitaka tuwasiline
 
yaan ww ni fala mliman lak1 na 90,kkoo mpk lak 160;ww umetumia bado unauza bei ya zaman zilvyoingia!
[HASHTAG]#samsung[/HASHTAG] galaxy j1 simshauri mtu anunue kuz inamatatzo sana ya kioo na spea zake nw n shida kuz haziko sokon sana!;kioo cha samsung galax j1 kinauzwa 150k;xx hapo ukiongeza 10 unapata new!
 
Fala wewe usie elewa nenda madukani kaulizie mimi niliinunua 250000 na kwasababu nimeitumia ndo nauza 200 kama huwez kaa pembeni na sio majibu ya kashfa na pia hiyo ni bei ya kuanzia lakini punguzo lipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom