Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Nna 4.5 mil . Nahitaji vitz , swift au cammy .
0715591141 nnazo gari aina hiyoNinayo zusuki aerio ongeza hella nikuachie iko vizuri kwa ulaji wa mafuta
Hivi hizo beetle kwa upande wa matengenezo , spare vipi sio kwere sana?Volkswagen beetle iko vizuri board