SAMSUNG GALAXY S7 FOR SALE!

SAMSUNG GALAXY S7 FOR SALE!

bazoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
300
Reaction score
141
Mpya kabisa GB 32 imetumika mwezi mmoja ina kila kitu chake no scratch naunza 800,000 kama Title inavyonekana hapo juu mwenye uhitaji anicheki kwa namba 0622 027490
Colour ni nyeusi na ina cover lake special ukivalisha ni ngumu kujua kama ni cover.

Picha naziweka ujionee..

Asante..

6319ba41782290eaa46bc9cb0c8f5b0e.jpg
b8d088ecc41765001d94d1a2d93239ba.jpg
075abdd40561bc19e66cc7f8dd8a9ff8.jpg
95bef39dc08045494d3e096fb8532f0c.jpg
 
Hii itakuwa ni maonesho tu,ingelikuwa inauzwa lazima na bei ingekuwepo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom