lyimovivianteamoriflame
Member
- Mar 22, 2017
- 37
- 44
North For Men, bidhaa kwa ajili ya Wanaume.
Katika set hii kuna;
- shaving Foam
- Original Soap Bar
- Del Roll - In - On 48 Hrs
- Del Spray 48 Hrs
- Hair and Body Wash.
SHAVING FOAM;
- Husaidia sana kwa wale wanaume wenye kupata mapele baada ya kunyoa ndevu.
- Hutumika wakati wa kunyolea, hupakwa kwenye ndevu kisha ndio kunyoa kunafwata.
Hii inauzwa kwa tsh 25,000/=, inaujazo wa 200ml
ORIGINAL SOAP BAR;
- Ni sabuni ya kuogea, huogea mwili mzima kuanzia usoni mpaka mwilini.
Hii ni kwa tsh 7,000/=, inauzito wa 100g
DEO ROLL - INN - ON 48 Hrs;
- Hii ni deodorant ya kiume, kupakwa kwapani.
- Huzuia kwapa kuloa.
- Huondoa weusi kwapani
- Hudumu kwa zaidi ya masaa 48.
Hii ni kwa tsh 12,000/=, ina ujazo wa 50 ml
DEO SPRAY 48 Hrs;
- Hii ni spray ya kiume, hupulizwa kwapani.
- Huondoa harufu mbaya kwapani.
Hii hupatikana kwa tsh 16,000/= na ipo kwa ujazo wa ml 150.
HAIR AND BODY WASH;
- Hii ni sabuni ya maji ya kuogea kuanzia kichwani mpaka mwilini.
- Inapovu jingi na inatakatisha mwili vizuri.
- Husaidia ngozi kuwa na muonekano mzuri na kuepesha miwasho mwilini.
Hii inapatikana kwa tsh 13,000/=, inaujazo wa 250 ml.
Ukihitaji bidhaa hizi usisite kuwasiliana nami kwa simu namba 0671416294