Namtafuta dalali wa nyumba viwanja Dodoma

Namtafuta dalali wa nyumba viwanja Dodoma

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
474
Reaction score
188
Wadau habari,

Natafuta dalali wa nyumba au viwanja aliyeko Dodoma mjini. Please naomba unitafute au kama unamfahamu dalali yeyote yule wa Dodoma mwambie anitafute. Nitumie PM nikupe namba.

Shukrani...
 
Ww tafuta kiwanja jenga...nitakuja kununua nyumba.
 
Jamani habar za saa iz natafuta madalali Wa nyumba Dodoma pls kama wapo naomba tuwasiliane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom