Nyumba inauzwa bei 45,000,000 tzs

MGANI PATRICK

JF-Expert Member
Aug 31, 2015
489
353
Habari wanajukwaa, nyumba ipo ubungo kisiwani jirani na cosmic hotel karibu na barabara ya lami ya kutoka ubungo kuelekea mabibo loyola jirani . Nyumba ipo katika hali nzuri ina vyumba tisa.
Karibuni

IMAG0022.jpg
IMAG0004.jpg
IMAG0019.jpg
IMAG0016.jpg
IMAG0011.jpg
IMAG0007.jpg
IMAG0017.jpg
IMAG0018.jpg
IMAG0010.jpg
 
Nyumba ipo mjini ubungo, katikati ya dar es salaam stand ya mkoa dakika mbili na nusu kwa miguu
 
Mkuu nyumba iko kwenye kiwanja cha ukubwa gani?
Nyumba imemaliza kiwanja chote haina reserve ya uwanja, u can imagine nyumba ya vyumba tisa plus sebule vyumba vya 10*12 times 9 u get the actual figure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom