Siza Agropro
Senior Member
- Oct 2, 2016
- 114
- 149
Kama unahitaji Shamba la Miti ya mikaratusi yenye umri wa miaka mitano linauzwa Mafinga,.Zipo ekari thelathini Na kila moja inauzwa Kwa shilingi milioni mbili Na laki tano(2,500,000/_). Shamba lipo umbali wa km Kama Saba ukitokea barabara ya lami inayokwenda Mbeya Kijiji cha Mtula. Kwa anayejisikia tuwasiliane Kwa 0754476976