judith1
New Member
- Mar 30, 2017
- 2
- 1
Habari jaman wapendwa poleni na majukumu ya kujenga nchi..
Naomba kuuliza kama kuna yoyote humu anaowajua au anayejua zile yard za magari wanaouza pia kwa mkopo kwa wafanya kazi waajiriwa..yaani mtu anapewa gari kisha kadi wanabaki nayo na anakuwa analipa kila mwezi kama labda kila mwez laki5 moja kwa moja kutoka kwenye mshahara..