Kiwanja kizuri kwa bei ya mmiliki sio dalali

Chambuso2017

Member
Feb 14, 2017
50
22
Kipo Madale kwa Kawawa,

Kina ukubwa wa Meter 20x20. Kipo kwenye eneo lililopimwa kwajili ya makazi ya watu. Kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Bei Shilingi Milioni Sita na na laki saba (6.7M), mimi mwenyewe ndiyo mmiliki lakini sijakikatia hati bado. Kwa maelezo zaidi nicheki PM.

NB: Ukipitia kwa madalali bei ni 8M kwenda juu.
 
Back
Top Bottom