Budget Resort
Member
- Mar 24, 2017
- 27
- 12
nimeshangaa sana mkuu hili tangazo .wabongo sijui tupojeMkuu Kama Hata Ulipo Inakuwa Ngumu Kusema, Sidhani Kama Kuna Mtu Atapiga Simu Kuweka Oda
Maneno hayakupanda kwenye picha husika mkuu.Mkuu Kama Hata Ulipo Inakuwa Ngumu Kusema, Sidhani Kama Kuna Mtu Atapiga Simu Kuweka Oda
Lipo mkuu karibu sana.Asante mkuu, kwa mimi mpenda dona litakuwepo?