Nauza kiwanja changu Tuangoma

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,348
2,051
Habari wakuu.
Nina kiwanja changu nauza kilichopo eneo la Tungoma kwa sako karibu na barabara.Eneo hili llote kuna nyumba.Pia kuna huduma za maji na umeme.Ukubwa wa kiwanja ni miguu17 kwa 17(robo heka).Bei ni milioni tano ambapo utaweza kulipa kwa awamu tatu ndani ya miezi mitatu.(YAANI MILIONI MBILI, KISHA MOJA, MWISHO MOJA)
Mawasiliano:0713-039875
 
Kumbuka robo hekari ni mita za mraba zisizopungua 1,000. Wakati eneo lako hilo litakuwa na ukubwa kati mita za mraba 200-250
 
Ekari Moja ni mita 70 kwa 70 ambazo ni sq.m 4,900. Mkuu miguu 17 kwa 17 ni sawa na approximately sq.m 289. Hiyo bei ni kubwa sana Fanya milioni 3 utapata mteja. Mimi nimeuza changu hapo somangila sq.m kama 500 milioni 4. Hali ni ngumu shusha bei utapata mteja.
 
Mwisho milioni nne.
 
Napenda kuweka record sawa. 70 x 70 tuliyoizoea kuwa ni ekari moja, sio kipimo cha mita Bali ni hadi ( yard) , eneo la ekari moja huwa ni mita za mraba 4047 kama sikosei. Unaweza kuhakikisha kwenye google
 
Habari wakuu.
Nina kiwanja changu nauza kilichopo eneo la Tungoma kwa sako karibu na barabara.Eneo hili llote kuna nyumba.Pia kuna huduma za maji na umeme.Ukubwa wa kiwanja ni miguu17 kwa 17(robo heka).Bei ni milioni tano ambapo utaweza kulipa kwa awamu tatu ndani ya miezi mitatu.(YAANI MILIONI MBILI, KISHA MOJA, MWISHO MOJA)
Mawasiliano:0713-039875
mkuu si tuangoma ni toangoma utakosa wateja kwa makosa kama haya.
 
Hakuna mahala pana magumash ya viwanja kama toangoma.. Watu weng matapeli wakishirikiana na viongozi wa mtaa.. So wanunuzi kueni makini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom