CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes

mzee wa ndonga

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,108
88
CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes zinatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia week ijayo, kwa wale wote ambao wako interested wasiliana na simu hii: +255 713451713 kwa maelezo zaidi.
CISA ni international certification kwa wale ambao wanataka wawe IT Auditors.
Inamuandaa mtu kwa ajili ya kufanya CISA Exams za Dec 2014 na June 2015, na pia kwa wale wanaotaka kupata knowledge na skills ya jinsi ya kufanya Audits kwenye upande wa information systems. karibuni.
 
CISA review classes zitaanza week ijayo trh 22/10/2014 pale Raha Tower! DSM!trainers wote ni experienced na ni CISA and CISM certified! kwa maelezo zaidi piga number 0713451713
 
Gharama ni shillingi 800,000/= including manuals and supplementary materials! Database yenye review questions,answers and axplanation yenye maswali zaidi yya 1,000. Na unafundishwa na walimu experienced ambao wana practice auditing in IT environment! Na at the end kuna mock exams kwa ajili ya kupima uelewa wa wanafunzi! For more information please call!
 
Ratiba ya CISA kuanzia Apri-July 2017.

1. Tarehe 03/04/2017-05/05/2017
2. Tarehe 15/05/2017-16/06/2017
3. Tarehe 26/06/2017- 28/07/2017
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom