Nina ng'ombe wangu 30 nawauza

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
377
Wakuu Nina ng'ombe 30, size ya Kati.
Wako home mkoa WA Mara, nahitaji mteja tufanye biashara fasta.
0754459572
 
Mkoa wa Mara sehemu gani?
Taja wilaya, tarafa, kata, kijiji na kitongoji na ikiwezekana mpaka ukoo wako ili tukufikie vizuri bila shida yeyote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom