Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu mwenye kujua bei za mifi router za 4G na 3G naomba anipe bei....?? Bei iwe ya dukani mpyaa
0 Reactions
13 Replies
4K Views
USIPITWE NA FURSA ILIYOPO KATIKA PESA ZA KIDIJITALI BADO SIKU 5 Dunia inakimbia kwa mwendo kasi wa ajabu, sasa inahama kutoka matumizi ya pesa za kushikika (physical) kwenda fedha ya kidigitali...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
kwa picha na mawasiliano 0679043099...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Kwa mahitaji ya kufungiwa gps tracking devices kwa ajili ya usalama wa gari yako na taarifa muhimu unazo paswa kufahamu kuhusu gari yako VIAN group company tuko kwa ajili yako tunapatikana...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Ipo poa ni Mpya kabisa ,internal memo 32gb-64gb,kwa 270,000/=Tu njoo au Nipigie tuongee ,nipo Tabata Segerea saa Nene 0658-154647
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Salam wadau, Kama mada inavyosema, nahitaji meeting table yenye uwezo wa kubeba viti visivyopungua 8. Nipo Dar Es Salaam. Mwenye nayo tuwasiliane tafadhali. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa wale wanaohitaji nyumba/office /godown ya kununua au kuuza au kupangisha shamba au kiwanja kuuza au kununua dsm maeneo ya posta,kigamboni,mikocheni,mbezi beach, kawe ,tegeta,ununio,bahari...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Tangazo maalumu kwa watu maalumu. Wale wote mnaohitaji huduma ya kuchimbiwa kisima huu ni wakati wenu wa kupata huduma hii kwa bei nafuu na huduma bora. Visima vyetu vya karavati ni bora kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana JF Mwenywe speaker kama hii na anauza naomba aje pm au ambae anajua sehemu zinakopatikana Asante ni.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nahitaji pikipiki used kwa uhakika kwa muda na idadi nitakayoitaka aina Sanlg au Haoujue kwa Dar. Msaada wako ni muhimu kwangu mahitaji yangu ni kuanzia sasa hadi October. asante
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimepata wazo la biashara hapa Dodoma,biashara hiyo ni kusambaza bidhaa /mahitaji muhimu kwa wateja mahali walipo,iwe ni ofisini ,nyumbani,sokoni ,vijiweni,kanisani au hata msikitini! Mbinu...
0 Reactions
5 Replies
965 Views
  • Closed
Wadau natafuta Gari ya kununua iliyo kwenye hali ya kuridhisha iwe Spacio, Altezza, Mark II Grande, Verossa, IST, Raum etc. Bajeti yangu ni milioni 6, napatikana DSM, Morogoro na Dodoma...
0 Reactions
77 Replies
11K Views
Wadau Sabakheri!! ambaye anafahamu au anvyo hivyo vifaa naomba tuwasiliane au anielekeze wapi naweza kuvipata Anielekeze Nataka kuanza biashara ya PHOTOGRAPHY. 0717421125 TUWASILIANE HAPA
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Bajeti yangu elf 50 nahitaji rasta original njoo pm tuyajenge!
1 Reactions
1 Replies
574 Views
Pia jipatie ujenzi wa nyumba kwa mkopo wa riba ndogo ya 14% na ulipe tartbu hadi miaka miwili na zaidi. *HABARI NJEMA* VKP (Real Estate) Company (yenye usajili no. *299964*) iliopo mbezi beach...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Jipatie dagaa wa bukoba namba 1 wasiokuwa na mchanga hata chembe kwa bei ya jumla na rejareja. Tupo dar es salaam. Tupigie kwa namba 0656005004, 0759958244.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
NYUMBA ina uzwa iko magomen kagela ni nyumba kubwa haiko mbali na barabara ina vyumba sita ....ina uzwa million 200 kwa maelezo zaidi NJOO PM... wasialiana na mm nikupeleke ukaione mwenyewe ...for...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Zipo ekar 20 Miti ina miaka 2 Bei ni milion 6 na nusu Zinapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe, Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na whatsapp 0742188846
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu nilikuwa na biashara yangu ya juice ya miwa ambapo pia nilikuwa nachoma chipsi.Sasa nimeamua kubadili biashara hivyo ninauza Machine nzuri ya kukamulia juice ya miwa iliyo katika Hali nzuri...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…