Kwa mahitaji ya huduma ya car tracking gps

finance2014

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
314
79
Kwa mahitaji ya kufungiwa gps tracking devices kwa ajili ya usalama wa gari yako na taarifa muhimu unazo paswa kufahamu kuhusu gari yako VIAN group company tuko kwa ajili yako tunapatikana mikocheni mtaa wa ruvu karibu na atsoko kwa maelezo zaidi tupigie 0716137965 tunahudumia taasisi mbalimbali, makampuni binafsi na ya serikali, watu binafsi karibuni sana
 
1.Bei?
2.Naweza funga kwenye pikipiki?
3.Na kwa lori linaloenda Congo via kasumbalesa laweza fungwa? ni za satelite ama sim card? na kama ni sim card kampuni gani mwafanya nao roaming? kwa Zambia na Congo?
 
Back
Top Bottom