Msaada kuhusu bei ya mifi router mpya

Msaada kuhusu bei ya mifi router mpya

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,369
Reaction score
1,337
Wakuu mwenye kujua bei za mifi router za 4G na 3G naomba anipe bei....?? Bei iwe ya dukani mpyaa
 
Wakuu naomba bei ya zinazotumia lain zote na ziwe za 4G
 
Wakuu naomba bei ya zinazotumia lain zote na ziwe za 4G
Ingia Groups zile za Facebook kama Deals in DSM,Deals in Dar na eBay of Tanzania.

Search group kama hizo utakuta kuna watu wanauza unlocked Mifi kwa bei ya 140,000/= na ni za 4G
 
20170219_150929.jpg
20170219_150923.jpg
20170219_150911.jpg
20170219_150755.jpg
 
Wakuu mwenye kujua bei za mifi router za 4G na 3G naomba anipe bei....?? Bei iwe ya dukani mpyaa
Mi nauza moja niliagiza mwezi umepita lakini siitumii. Ni ya 4G inatumia 2 lines na pia ni power bank ya 5,200. Mia Moja tu.
 
pia kama huna matumizi makubwa consider samsung z2, kale ka simu ka tizen, naona watu wanasema madukani hadi 110,000 inaweza kuwa alternative ya router.
 
pia kama huna matumizi makubwa consider samsung z2, kale ka simu ka tizen, naona watu wanasema madukani hadi 110,000 inaweza kuwa alternative ya router.
Mkuu nauliza bei ili nizilete niuze bei chini ya hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom