Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Bagamoyo

PACHOTO

JF-Expert Member
Dec 30, 2011
1,321
972
Habari wakuu,
kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninauza kiwanja changu kilichopo bagamoyo, eneo la Nzole kitalu A, kiwanja kina ukubwa wa mita za mraba 846. Kipo mita 300 kutoka barabara kuu ya kwenda MSATA kwa mawasiliano 0625763531
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom