Usipitwe na fursa iliyopo katika pesa za kidigitali bado siku 5

mumburya

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
321
448
USIPITWE NA FURSA ILIYOPO KATIKA PESA ZA KIDIJITALI BADO SIKU 5

Dunia inakimbia kwa mwendo kasi wa ajabu, sasa inahama kutoka matumizi ya pesa za kushikika (physical) kwenda fedha ya kidigitali (digital currency). Kasi ya dunia ni kubwa ndiyo maana mtu anaweza akawa Dar maeneo ya posta (inapofanyika mikutano ya digital currency) hata hii kitu asiijue. Baada ya miaka mitano ijayo hapatakuwa na hela tulizozizoea. Hebu google ufahamu juu ya bitcoin, Ethereum, rubycoin, hizi ni digital currency zilizoshika kasi dunini.

Huko Marekni wananzisha Trumpcoin, Majuzi tu Benki ya watu wa China imeanza mchakato wa kuanzisha pesa yao ya kidigitali. Ili mbongo ulewe pesa ya kidijitali ni nini, fikiria kuhusu Mpesa unavyo weza kunua token ya luku ukiwa nyumbani na umeme ukawaka!

Kutengeneza pesa za sarafu na manoti ni gharama, hivi unajua noti ya dola 100 hutengenezwa kwa gharama ya 12.3 cents, si unaona hata vocha ukinunua kwa mpesa unapata na bonus? kwanini? makaratasi makaratasi ni gharama. Nakushauri kufikia hapa kama unaona hayakuhusu usipoteze muda, kwa sababu kuna watu Mungu alishawaandikia umaskini.

BITCOIN
Bitcoin ni fedha ya kidigitali ambayo imeshika kasi duniani. Ilipozinduliwa mwaka 2010 bei ya coin moja ya bitcoin ilikuwa $ 0.008 (sawa na Tsh. 17). Katika siku tano za mwanzo bei ilipanda kwa 1000% yaani ilipanda toka $ 0.008 (Tsh17) hadi $ 0.08 (Tsh 176) kwa kila bitcoin.
Baada ya mwaka 1 yaani mwaka 2011, bei yake ilikuwa $31.00 ( Tsh.68,200). Leo hii (tarehe 31/3/2017 bitcoin moja inauzwa Tanzania kwa Tsh.2,517,234/. Fedha za kidigitali hupanda bei kwa kasi ya ajabu na wajanja huwekeza huko.

Mwanzilishi wa Bitcoins Satoshi Nakamoto mwaka 2009 aliwafumbua macho watu wote duniani kwa kuanzisha Sarafu ya Bitcoin!! Teknolojia ya Bitcoins imeendelea kutumika sana kutengeneza Sarafu nyingine zaidi duniani zenye mfumo wa Bitcoins protocol!!

Fikiria kama ungelinunua bitcoin kwa chini ya dola moja mwaka 2009 na leo unaiuza dolla zaidi ya 1,000, yaani faida ni mara 1000!. Pole maana hukujua. Soma story ya bwana mdogo wa Kinorway Kristoffer Koch ambaye alinunua bitcoin za thamani ya dollar 26.60 mwaka 2009 siku ya uzinduzi na kuzisahau, miaka minne baadae alishtukia zinana utajiri wa $885,520. (kwa mujibu wa gazeti la the guardian).

HISTORIA KUJIRUDIA

Naomba nitambulishe kwako Sarafu mpya iitwayo Adscash ambayo ni salama kabisa kujiunga nayo mapema kabla ya UZINDUZI wa Sarafu hiyo mwezi April, 2017. Hii ni Sarafu itakuwa inatumika kwenye matangazo ya kimataifa kama ilivyo Facebook, Twitter YouTube Instagram WhatsApp Bitcoinadspay, nk.

Faida itakayokuwa inapatikana kwenye international business advertisements ndizo watakuwa wanapata gawio lake wanachama wa kampuni hii!!

Adscash ikishazinduliwa itakuwa sokoni na coin zake zitakuwa zinakufikia wewe mwekezaji kwa kutumia mfumo wa blockchain ya Sarafu ya Ethereum!! Bei yake siku ya uzinduzi itakuwa senti za dolla ya kimarekani 2.5. Adscash coins zinatarajia kupanda sana hadi kufikia $10 hadi 25 miezi 3-12 baada ya kuwekwa sokoni (public coin).

OFFER HII HAPA
Ukijiunga tu unapewa Adscash coins 100 za Bure (soma tena za bure) ikiwa ni coin za promotion kabla ya UZINDUZI wa Sarafu hii ya Adscash! (PRE LAUNCHING OFFER). Baada ya miezi 3-12 hizo coin 100 ulizopewa za offer leo hii zitakuwa na thamani ya dollar 1000 (Tsh. 2,300,000/=) hivyo ukijiunga na kupata coin hizo huna tofauti na mtu ambaye leo hii ameweka pesa benki za thamani ya dolla 1,000 kutarajia kuja kuzichukua miezi 3-12 ijayo.Hapa nimeongelea zile coin 100 za offer, bado sijaongelea coin ambazo mtu mwenyewe ataamua kuwekeza siku hiyo ya uzinduzi. Pia sijaongelea commission ya asilimia kumi ya kutokana na watu watakaojiunga nyuma yake, uzao wa kwanza, asimilia 4 uzao wa pili nk.

Wanachama wa kampuni hii ya adscash watakuwa na Uhuru (flexibility) wa kubadili hizo coin kwenye Dollars au Bitcoins wakati wa kufanya Deposit au Withdrawal of their money!! - Utabadili vipi na wapi, hili ni somo la siku nyingine, ila niseme tu kwamba "bureau de change" zake kwenye miji yote mikubwa nchini.

UZINDUZI
Kampuni hii itazinduliwa rasmi tarehe 5/04/2017 duniani kote!! Hadi sasa hivi watu takribani 400,000 wamejiunga tangu usajili rasmi uanze February mwanzoni!

Kumbuka kuwa Adscash Ni Sarafu mpya hivyo bado ina bei ya chini kwa sasa hivi!! Hivyo unaweza Kupata coin nyingi sana kwa bei ndogo!!

Narudia tena: Ukiwa na coin 100 utakazozipata Bure kabisa sasa hivi kwa kujiunga tu, huna tofauti na mtu aliyeweka Dolla 1000 benki sawa na Tshs 2,300,000 kwa miezi mitatu hadi 12 ijayo baada ya kuwepo sokoni!

JIUNGE SASA HIVI
Ukitaka usipitwe na utajiri huu kwa kuanza na kulamba coin 100, za bure hebu bofya hapa, ujisajili.
 
AdsCash a new secure ,decenralized cryptocurrency exclusively for the Adworld. A new advertising payment system.

Utapeli. Huu ujinga ulikua unafanywa miaka ya 90 uko kwa wenzetu.
 
"Asiyefanya utafiti hana haki ya kuongea". Kaka mbona una access ya internet lakini imegoma kufanya utafiti japo kidogo? Fanya tafiti nchi mbali mbali ujiridhishe kama digital currency sio legal tender. Kifupi una hitaji ushauri nasaha.
 
"Asiyefanya utafiti hana haki ya kuongea". Kaka mbona una access ya internet lakini iemgoma kufanya utafiti japo kidogo? Fanya tafiti nchi mbali mbali ujiridhishe kama digital currency sio legal tender. Kifupi una hitaji ushauri nasaha.

Haya mambo yamepitwa n wakati ndugu,mnaenda kutengeneza traffic kwenye hzo website ili hao wapate matangazo. Endeleeni kutapeli watu.
 
Kuna maharage fulani mtu akila haruhusu tena akili yake kufanya kazi. sijui ni maharage ya wapi hayo? Hivi digital currency wewe unasema ni kutengeneza trafficking? sijui dunia ya wapi wewe unaishi. Baadhi ya nchi zinazotumia digital currency ni hizi: nimeambatanisha link usome uache kudanganya watu: Ujerumani, Australia, Japan
 
Katapel uko kijijini kwenu.
 
Katapel uko kijijini kwenu.

Nilishakwambia huna haki ya kuongea kama hujafanya utafiti. Mimi nimekupa na mifano ya nchi husika na kukupa hata links, wewe umeshindwa kupinga kwa hoja na kuziweka hapa, umebaki kusema tu utapeli. Hivi wewe sijui umekula maharage ya wapi? hata watu hapa wameshakupuuza kama walivyolipuuza jina lako.
 
Nilishakwambia huna haki ya kuongea kama hujafanya utafikiti. Mimi nimekupa na mifano ya nchi husika na kukupa hata links, wewe umeshindwa kupinga kwa hoja na kuziweka hapa, umebaki kusema tu utapeli. Hivi wewe sijui umekula maharage ya wapi, hata watu hapa wameshakupuuza kama walivyolipuuza jina lako.

Siwezi kujibizana na tapeli,fanya kazi upate pesa ya halali.
 
Utatapeli wachache ili upate pesa ya pedi.

Mbona wewe juzi umetapeli simu ukijifanya fundi ukaenda kuuza kwa mafundi ukakamatwa. Umesababisha dadako kaenda kukutoa kwa gharama kubwa Buguruni baada ya kuwekwa ndani. Halafu ukija hapa unajifanya mjanja.
 
Bugiruni ni wapi? Mimi niko Arusha.
 
Rudisha simu ya watu uliyoiba wiki iliyopita, mwenyewe kakusamehe, acha kujificha. Tunakufahamu sana
 
Back
Top Bottom