Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa mtu yeyote ambaye ataitaji kununua mayai ya aina zote anaweza wasiliana kwa namba hiyi hapa 0718 04 02 08
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Toyota altezza 4 cylinder cc 1990 silver new one 9mil naongez yapo kwa sirious buyer call 0712607003 kwa mawasiliano
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wakuuuuu habar zenu....mimi nauza asali lita 5 sh 60000 kama una hitaji nichek PM
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Wakuu habari za Leo. Kiwanja kinauzwa kwa bei poa. Ur 20 up 11 m2 Kipo kwa mromboo,Arusha. Bei 3m fixed. Mwambie na mwingine
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Hbr zenu wapendwa nilikuwa naitaji na mm simu ya smartphone ya 50000....
0 Reactions
3 Replies
763 Views
Karibu kwenye mafunzo ya ujasiriamali na masoko utafundishwa utengenezaji wa sabuni ya unga na sabuni ya maji, sabuni ya mche, kutengeneza mshumaa, kutengenenaza purfume, kutengeneza shampoo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iwe single cabin model ile ya 2.8 Namba yoyote,gari iwe inatumia disel,gari iwe nzimaa Offre ya mnunuzi ni mln 8 mpk 9mln Kama kuna mtu anayo au anamfahamu mtu ambaye anayo tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf, sisi tunajihusisha na masuala ya uchimbaji wa visima kwa ajili ya umwagiliaji wa mashambani,kwa matumizi ya nyumbani au hata kwa biashara na bei zetu ni shillingi 70000 kwa mita...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Wakuu gari iliyo ktk hali nzuri toyota sienta inauzwa Mileage: 63000 CC: 1300 Usajili: DCZ Bei 9,000,000/= Mengine piga simu 0714108501
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hello friends, hivi mnafaham kuwa mbwa ni mlinzi mwaminifu wa kweli na unapotumia mbwa mwenye mafunzo unakuwa umeongeza uhakika wa usalama wako Mara dufu kuliko kutumia Masai au binadam yeyote...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, Nauza kiwanja Eneo la Bagamoyo Kiromo sio mbali na barabara kuu ya Bagamoyo ( kama mita 300 kutoka Bagamoyo Road), ukubwa wa kiwanja ni robo heka, Bei yake ni sh milioni 5.5. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Kama wewe ni producer na unahitaji sehemu/studio kwa ajili ya kufanya kazi zako za music (gospel tuu) tuwasiliane kwa kupitia (pm) kwa mazungumzo zaidi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nahitaji smartphone nzuri brand ya tecno au samsung kwa 150k
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwema? Lipo gari aina tajwa hapo juu linauzwa. Bado lina hali nzuri isipokuwa mtumiaji ameshindwa kumudu gharama za mafuta usawa huu. Kwa muhitaji, anaweza wasiliana nami moja kwa moja tukafanya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa yoyote anayehitaji simu nauza Samsung galaxy Ji one ace kwa laki mbili bado mpya ina miezi miwili tu tokea niinunue na haina tatizo.anaeitaka tuwasiline
0 Reactions
2 Replies
4K Views
NDGU MWANANCHI,MFANYABIASHARA UNAKARIBISHWA KUTANGAZA BIASHARA YAKO ISIKE KOTE DUNIANI KUPITIA MPANDA RADIO FM ILIYOKO MKOANI KATAVI. TANGAZA NASI UPATE WATEJA WENGI POPOTE ULIPO TUNAKUHUDUMIA...
1 Reactions
2 Replies
663 Views
Za jioni wadau kam title inavyojielezea nauza Laptop aina ya samsung mini ina charger yake kwa bei ya 200000 maelewano yapo. Kwa mawasiliano zaidi 0712220207 au 0742194328
0 Reactions
15 Replies
6K Views
HONDA 6.5hp 2-inches horse Ipo full na kila kitu chake Mawasiliano: 0718141970 Bei : 320k maelewano yapo tuma mesej/piga tutaelewana
1 Reactions
9 Replies
9K Views
Habari za saa hizi humu ndani? Naomba kupatiwa msaada wa mapendekezo ya bustani nzuri inayofaa kwa ajili ya sherehe ya harusi. Ninatarajia kufunga harusi na kuwa na wageni wasiopungua 400...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Hello friends, hivi mnafaham kuwa mbwa ni mlinzi mwaminifu wa kweli na unapotumia mbwa mwenye mafunzo unakuwa umeongeza uhakika wa usalama wako Mara dufu kuliko kutumia Masai au binadam yeyote...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom