Car alarm and gps vehicle tracker

Car alarm and gps vehicle tracker

ZaBeast

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2015
Posts
777
Reaction score
332
New! New!

New Released, smartest Security Over Traditional Car Alarms!

Two in one Vehicle GPS system and Car Alarm!

New GPS vehicle tracker that works as an alarm ... A tracker and an alarm;
The system uses Your Smart Phone as a special Identification, as you leave your car automatically the system disable/arm your car and as you approach your car it disarm automatically.

** When in arm state,
the vehicle is in an immobile state;
if any person irregally atempts the following an alert will come to your mobile phone :-

1.Open Doors

2. Ignite the engine even if with legitimate switch.

3. The vehicle being towwed away.

The system is installed with microphone by defaults. .. Mic enables you to hear conversations taking place from your car anywhere any time.

Real time... Free platform... No additional Costs... One time diming..

Contact person:
+255683419417

For inquiries and Price quotations:- info@interactiveittz.com
More details:- Interactive Informatics Co. Limited


DEAR CUSTOMERS, WE HAVE WIDE RANGE OF PRODUCTS, THAT CAN FIT YOUR SECURITY NEEDS ON VEHICLE, REASON WHY WE DONT NAME PRICE BECAUSE IT NEEDS AN INQUIRY THAT RESULTS TO CONSULTATION SO AS WE CAN DELIVER THE BEST OUT OF OUR BEST THAT SUITS YOU BETTER...

A SERIES OF CATEGORIES, A SERIES OF PRODUCTS AND SERVICES THAT TO NAME A PRICE NEEDS QUOTATION AND OR CATALOGUE!

SORRY FOR INCONVENIENCES IF OCCURED!

SINCERELY!
Consultants Team interactiveittz.com
 

Attachments

  • 1448090053521.jpg
    1448090053521.jpg
    82.1 KB · Views: 426
Last edited by a moderator:
duh, sasa hio gps ikilia kama alarm si mwizi ataiona na kuifungua na kuitupa?
 
Huu mfumo ni mzuri saana naunasaidia sana.
Maana mie shuhuda na nimeufunga kwenye Ci Carry vyangu,na bodaboda.

Nitakujaribu mkuu kama nikinunua gari nyingine ili kuona na nyie mpo vipi
 
duh, sasa hio gps ikilia kama alarm si mwizi ataiona na kuifungua na kuitupa?

Salaam Mkwawa alarm hii si haipigi kelele ina ku alert wewe kwa sms na pia kwa kukupigia simu kwahiyo itasaidia kuklmkuta mwizi ready handed

Pili gps hauwezi kuindoa ikishafungwa sababu ina mfumo maalum wa kutoa report pale power inapokuwa cut-down!

Natumaini nimekujibu boss...
 
bei gani mkuu

Asante boss..
Kuna contact hapo tunaweza tukawasiliana kitu tunachofanya ni consultation pia kabla ya kuuza bidhaa na huduma...
Hivyo kwaninj ukose sehemu ya consultation kwa kuona bei na kuchukua hatua ya kujipanga boss...
Tunauza bidhaa tu huduma zoote ni bure boss...

Asante
 
Salaam Mkwawa alarm hii si haipigi kelele ina ku alert wewe kwa sms na pia kwa kukupigia simu kwahiyo itasaidia kuklmkuta mwizi ready handed

Pili gps hauwezi kuindoa ikishafungwa sababu ina mfumo maalum wa kutoa report pale power inapokuwa cut-down!

Natumaini nimekujibu boss...

Asante naomba gharama au bei elekezi kwa gari ndogo
 
kwenye bodaboda inakuwaje jinsi ya kufanya kazi

Habari ya kwako boss..
Kwenye boda boda naomba tuwasiliane..
Kwasababu boda boda inafanya kazi kwa muda mrefu saaana ukiringanisha na gari Kwahiyo performance ya system yake lazima iwe kutokana na sifa za ufanisi wa boda boda...
Ni mfumo mwingine toafuti na huu pia bei yake ni rahisi mno..
Utasisimuka.
Naomba tuwasiliane boss
 
Taja bei kwanza

Ningependa kutaja bei mkuu lakini sipendi ukose huduma za bure zingine ambazo sisi kwa utamaduni wetu tunatoa huduma bure..
Tuma e mail kwa quotations
Piga simu au text
Nitakujibu ndani ya dakika chache boss
 
Sasa tangazo umeweka LA nini ujinga mtupu
 
Huu mfumo ni mzuri saana naunasaidia sana.
Maana mie shuhuda na nimeufunga kwenye Ci Carry vyangu,na bodaboda.

Nitakujaribu mkuu kama nikinunua gari nyingine ili kuona na nyie mpo vipi

Ninakuhakikishia 100% mafanikio kwa huduma, bidhaa na ubora boss

Ha ha ha kuhusu kurogwa na Wezi itakuwa kazi ya ziada maana yake zama za wizi zilikuwa karne ya 16 hii ni karne ya mpya wenyewe wanaita "information age"
Kila unapotaka kuiba fikiria mara mia 5 ama na wewe ufanye uwe mtalaam ufanye "ethical hacking"
Ambayo pia hata hiyo unaiba huku tunakuona kwahiyo ni suala la upande mwingine kuku triangulate. .... sorry vingereza..
Lakini ufupi unaiba halafu unaonekana na mbaya zaidi unacha alama za kukufuatilia.

Asante boss
 
bei gani mkuu[/QUOTE

Husiogope nyumbani kwako boss..
Bei ni kitu ingine bidhaa ni muhimu kuliko bei.

Hummer pia ni gari kama vitz ha ha ha
Lakini functionalities is what determine values kwanini tusiongee boss ukapata na hudumu zingine bure sabau naelewa unahitaji consultation!

Karibu sana kwa mawasiliaono
 
Naona muuza bidhaa anapenda simu yake iwe busy kwa kupigiwa simu kuulizwa bei ya vifaa anavyouza,Weka bei ili mtu aone kama anaafford kununua hicho kifaa anapokupigia simu ni kufanya biashara na sio kuuliza bei
 
Naona muuza bidhaa anapenda simu yake iwe busy kwa kupigiwa simu kuulizwa bei ya vifaa anavyouza,Weka bei ili mtu aone kama anaafford kununua hicho kifaa anapokupigia simu ni kufanya biashara na sio kuuliza bei

Ha! Ha!
Hapana boss sms, e mail zinakuwa nzuri maana hii ni featured product..
Kuna option zingine ambazo zinafanya kazi sawa saws na hii tofauti ni ndogo saana.

Ndiyo sababu hiyo mkuu.. kila mawasilano lazima yajibiwe na kufuatiliwa kwa kina.. ndiyo maana ni vyema tuongee kuna umuhimu wa kufanya hivyo..
Consultation boss....
Kabla ya huduma unahitaji kufahamu ni nini unaenda kutumia mkuu.
Pole kwa usumbufu ni jinsi ambavyo tunafaya biashara kuwa karibu na mteja 100%
 
Ukiona muuzaji anagoma kutaja bei, jua kwamba anajua fika bei ya bidhaa zake ni zaidi ya bei za soko. ( Ulanguzi uliopitiliza )
 
Back
Top Bottom