Dodo18 JF-Expert Member Feb 26, 2011 315 93 Mar 30, 2017 #1 Nauza tablet aina ya htc nexus. Ni mpya kabisa na naiuza sababu sina matumizi nayo. Kama uko intrested number yngu hii hapa 0712220207 au 0742194328
Nauza tablet aina ya htc nexus. Ni mpya kabisa na naiuza sababu sina matumizi nayo. Kama uko intrested number yngu hii hapa 0712220207 au 0742194328
Dodo18 JF-Expert Member Feb 26, 2011 315 93 Mar 30, 2017 Thread starter #5 Bei ya kukupa ukilinganisha na thamani yake.
Chuck j JF-Expert Member Jun 17, 2011 2,361 824 Mar 31, 2017 #10 Ishapitwa thamani mkuuu,,ilikuwa kama million na kitu lkn now nikupe laki na nusu
Dodo18 JF-Expert Member Feb 26, 2011 315 93 Apr 2, 2017 Thread starter #14 OS: android (7.1, 7.0, 50) System memory: 2Gb Ram, Built in storage: 32 Gb
Dodo18 JF-Expert Member Feb 26, 2011 315 93 Apr 2, 2017 Thread starter #15 Ina 8 Megapixels nyuma na 2 Megapixels mbele.. Karibuni sana na mzigo bado upo.
Dodo18 JF-Expert Member Feb 26, 2011 315 93 Apr 3, 2017 Thread starter #16 MTOTO WA KUKU said: 200k Click to expand... Hiyo hailipi. Panda kidogo mkuu..
B Baba JJ Senior Member Feb 15, 2013 194 98 Apr 3, 2017 #17 Ameir said: Ina 8 Megapixels nyuma na 2 Megapixels mbele.. Karibuni sana na mzigo bado upo. Click to expand... Inatumia chip ya SIM? Au wireless?
Ameir said: Ina 8 Megapixels nyuma na 2 Megapixels mbele.. Karibuni sana na mzigo bado upo. Click to expand... Inatumia chip ya SIM? Au wireless?
Dodo18 JF-Expert Member Feb 26, 2011 315 93 Apr 3, 2017 Thread starter #18 Baba JJ said: Inatumia chip ya SIM? Au wireless? Click to expand... Both wireless na chip