Hi Guys!!
Naulizia availability ya car care products especially in Dar es salaam!! Kwa anayefahamu; ningependa kufahamu ni wapi hasa naweza kuzipata.
Car care products ninazoulizia ni pamoja na Car Polish, Car cleaner, car shampoo, car air freshener n.k.
Kama una hizo products au unafahamu ni wapi zinapatikana, please let me know pamoja na bei zake.
Thanks in advance.