Niuzie mbwa Mwanza

hibiscus interior

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,168
595
Wadau natafuta mbwa mwenye asili ya German Shepherd au pure breed kwa mwanza nipm au ncheki watsup 0756181677
 
Kwanini utafute mwenye asili ya german badala utafute pure gs?
Cross breed sio wazuri na hawana faida kabisa
 
Attachments

  • 1452698793213.jpg
    1452698793213.jpg
    41.5 KB · Views: 115
  • 1452698822807.jpg
    1452698822807.jpg
    77.2 KB · Views: 187
  • 1452698846632.jpg
    1452698846632.jpg
    44 KB · Views: 109
Ikiwa uko serious nitakutumia contact ya jamaa yuko mwanza uchek vitu vikali
 
Nimekutumia kwa whatsap
Sasa rafik mbwa nimewaona lakin bei jamaa yako anauza mbwa million 6 wakat me natembea kwa miguu hatriiii
 
Attachments

  • 1452776987838.jpg
    1452776987838.jpg
    38 KB · Views: 95
  • 1452777000921.jpg
    1452777000921.jpg
    67.7 KB · Views: 148
  • 1452777017221.jpg
    1452777017221.jpg
    130.1 KB · Views: 100
Sasa rafik mbwa nimewaona lakin bei jamaa yako anauza mbwa million 6 wakat me natembea kwa miguu hatriiii
Jamaa huwa anauza kwa kukomoa, niko Arusha nitakusaidia je? Huku puppies wa miezi 2 ni laki 3 na wapo kwa wingi, mimi pia mfugaji lakini sina puppies kwa sasa.
Hiyo bei iko juu sana sawa na kuagiza Ujerumani. Kenya ni ksh 55,000 hadi 75,000 na kutoa south Africa ni $ 2000
 
Aiseeee me ni mbwa addicted hata kumfta nitamfta
 
Jamaa huwa anauza kwa kukomoa, niko Arusha nitakusaidia je? Huku puppies wa miezi 2 ni laki 3 na wapo kwa wingi, mimi pia mfugaji lakini sina puppies kwa sasa.
Hiyo bei iko juu sana sawa na kuagiza Ujerumani. Kenya ni ksh 55,000 hadi 75,000 na kutoa south Africa ni $ 2000

Mkuu una maana Arusha nikitaka GS watoto naweza pata kwa laki 3...? Mimi natafuta mbwa pia lakini sio GS maana hawa pamoja na uzuri wao wanaudhaifu wa magojwa kuna breed inaitwa Belgium Shepherd Malinois hawa ndio wanafaa kwa huku kwetu ingawa ni wagumu kuwapata. Naomba nikuulize kama naweza pata hawa Malinois huko Arusha.
 
Kokola Belgian shephard malinois nimewahi kuona Arusha Olasiti kwa mwanashria mmoja jina Makange(rip) sijui kama wanaendelea kuzalisha
 
Unaweza kuniulizia mkuu..?
Nitaulizia, ni vema unitumie contact zako inbox, mimi nafuga gsd, sijawahi kupata tatizo lolote kwani nina basic knowledge ya kuwatibu. Niliwahi kuwa na belgian shephard groenendal ni mzuri sana na obedience yake ni ya kiwango cha juu sana, nasikitika nimempoteza 3 months ago.
Njoo inbox plz
 
Sawa mkuu natuma
 
Gsd
 
Attachments

  • VID-20170302-WA0000.mp4
    7.3 MB · Views: 26

Similar Discussions

Back
Top Bottom