Natafuta wanapouza Uyoga

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,657
Wakuu habari za leo.
Naomba msaada wenu. Mke wangu anapenda sana leo ale Uyoga na mimi sijui pale unapouzwa. Naomba mnielekeze tafadhali.
Asanteni sana!!
 
Wakuu habari za leo.
Naomba msaada wenu. Mke wangu anapenda sana leo ale Uyoga na mimi sijui pale unapouzwa. Naomba mnielekeze tafadhali.
Asanteni sana!!
Sema kwanza upo mji gani ili tukuelekeze wapi utapata!!!!
 
Nakumatt Supermarket utapata pia akitaka kusindikizwa tuwasiliane.
 
Wakuu habari za leo.
Naomba msaada wenu. Mke wangu anapenda sana leo ale Uyoga na mimi sijui pale unapouzwa. Naomba mnielekeze tafadhali.
Asanteni sana!!
Ni pm nikuelekeze sehem ambayo utapata kila aina ya uyoga
 
nipo makambako kikazi ukiuhitaji nikubebee maana upo mwingi sana huku
 
Wakuu habari za leo.
Naomba msaada wenu. Mke wangu anapenda sana leo ale Uyoga na mimi sijui pale unapouzwa. Naomba mnielekeze tafadhali.
Asanteni sana!!
Njoo Tegeta kwa ndevu kuna shamba la uyoga yaani unapata kitu chenyewe kilo 10000, nusu 5000, robo 2500 ukifika ni PM
 
Nashukuru sana wadau. Jana nilipata uyoga safi kabisa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom