Nauza kiwanja Kigamboni mtaa wa Mkamba

maheda0756

Senior Member
Oct 27, 2016
107
154
Habari za kutwa?

Nauza kiwanja changu mwenyewe kilichopo Kigamboni Dar es salaam Mtaa wa Mkamba chenge ukubwa wa Meter 25 urefu na Upana Meter 25, kwa thamani ya Tsh 3,500,000 ( Millioni Tatu na Laki tano Tu.) Mazungumzo yapo. Kiwanja hiki hakijapimwa lakini kina hati ya Kimira. Sababu za kuuza kiwanja hiki ni kwa ajili ya kupata Mtaji kwa ajili ya shughuli za kilimo, Kiwanja hakina Mgogoro wowote. Pia kama hutapenda Kununua kiwanja hiki unaweza kunikopesha kiasi cha Millioni mbili kwa riba nafuu, na Kiwanja hiki kikasisimama kama dhamana ya mkopo wetu, lakini Mkopo huo nitaurejesha kila Mwezi ndani ya miezi Sita kwa sababu kuna Biashara nyingine ninayoitegemea kunisaidia kuendesha shughuli zangu za Kilimo.

ahsante, kwa mawasiliano zaidi unaweza kuja Private Massage.
 
Jamani moderators nisaidie kuuweka uzi wangu uonekane basi aisee labda nitapata WA kunisaidia shida yangu

Cc: Mode 2
Cc: Mode 4
 
Tangazo halijitoshelezi. Weka umbali toka Ferry. Na maeneo ambayo ni famous karibu na huko mtaa wa Mkamba.

Unafikiri kila mtu anapajua huko kigamboni!?
 
Kitunda Magole(Kiwanja)

Kitunda Magole, near Mwanagati. Umeme na Maji hapo hapo.
50Ft X 50Ft. Pamepimwa Kienyeji kwa Mpangilio Mzur kwa Makazi bora.

8.6Kms from Banana.
18.9Kms from Clock Tower.

Bei: 6.5M
Mazungumzo yapo.
 
Kitunda Magole(Kiwanja)

Kitunda Magole, near Mwanagati. Umeme na Maji hapo hapo.
50Ft X 50Ft. Pamepimwa Kienyeji kwa Mpangilio Mzur kwa Makazi bora.

8.6Kms from Banana.
18.9Kms from Clock Tower.

Bei: 6.5M
Mazungumzo yapo.

Contact: 0715-240140
Umeshindwa kufungua uzi wako ukaweka Tangazo lako?
Acha upimbi aisee
 
Kitunda Magole(Kiwanja)

Kitunda Magole, near Mwanagati. Umeme na Maji hapo hapo.
50Ft X 50Ft. Pamepimwa Kienyeji kwa Mpangilio Mzur kwa Makazi bora.

8.6Kms from Banana.
18.9Kms from Clock Tower.

Bei: 6.5M
Mazungumzo yapo.

Contact: 0715-240140
Ungejua unavyokera,unaboa kinoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom