msonganzila
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 204
- 106
Pikipiki inauzwa ikiwa IPO kwenye hal nzuri....ukinunua tu safari maana IPO vizuri sana...
bei yetu 6,000,000/= bei yetu inaruhusu Mazungumzo
We ving'ola vya nini mkuu, au wataka kutembelea msafara kwenda kwenye mishemishe?mbn imetolewa ving'ora ss??
Ni cc 750Ni cc ngapi? Usajili wake unasomaje? Inakwenda km ngapi?