Hali ni ngumu nataka kiwanja cha kulipa kidogokidogo.

Kalam mpya

Member
Mar 30, 2017
84
76
Kiwanja hicho kiwe kiwe kibaha mail moja Pangani, Mlangizi shamba, Kibaha kwa matiasi, Mkulanga Kimanzi chana Kibindu Bagamoyo, Kibiti ikwiriri mbagala kongowe na kwengine. Kisizidi laki 8 ntalipa kwa awam tatu . Hali imekua Dume
 
Back
Top Bottom