Uchumi wetu mikononi mwa Elimu haral.

Kalam mpya

Member
Mar 30, 2017
84
76
Katika mataifa makubwa dunia yalioendelea dunia yalifanikiwa kufikia utajiri mkubwa duniani kwa kuwekeza Elim bora ktk Taifa lao.

Elimu iliowekezwa haikua Elim za ujanja ujanja,

Hii ilikua nafasi pekee ya kujenga watumishi bora wasio na mihemko ya akili ila Elim pekee.

Watumishi hao ktk mataifa yaliondelea walitumia Elim zaidi kusimamia kutenda na kuzibitisha na kuthibitisha kazi zao na Elim zao.

Ugonjwa wa mataifa yanayoinukia kimaendeoa ni kukwama zaidi ktk Siasa zilizopita ktk mahitaji ya sasa ya maendeleo.

Elim za mataifa hayo mara nyingi sana huwa katka wakati rahisi kusemwa lakin wakati mgumu kutendwa.

Ujanja na udanganyifu ndio sehem kubwa ya kupitiliza mbele ya maendeleo. Yaani kupisha au kuyaachaa maendeleo na kukimbia mbele.

Uchumi wa kati kwa mataifa mengi barani Afirika yanaweza kufikiwa ikiwa siasa na tawala zao kusimama kidete kutambua Elim kama moyo wa Taifa hilo.


Ufumbuzi wa taalum

Zipo nchi nyingi mbali ya taaluma za elim walizonazo Raia wao zimebakia kua butu.
 
Back
Top Bottom